#GABOZIGAMBA

Happybirthday my mum
Mwenyez mungu akupe maisha .
Marefu na kheri dunia..
Wanao tunakupenda
Mumy.#gabozigamba
#getrudemhagama
#shilawadu😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁 #trishazmtam
#maufunditv

2πŸ’¬

Kamwe usiwachukie watu wanao kuombea mabaya bali waheshimu kwn wao ndo miongoni mwa watu wanaofikiria ww ni bora zaid kuliko wao #Riyama #Rammygalis #gabozigamba #dogojanjatz #Director_feidho

4πŸ’¬

Tunaonana , Tunajuana na Juhudi zetu ndizo zinakua sababu ya kufanana , Ndege hairuki pasipo na marubani #wawili , na akiwa mmoja basi lazima itakua inaishia #zanzibar .
#RammyGalis #GaboZigamba @gabozigamba

49πŸ’¬

Loading...

#GaboZigamba β€˜β€˜Mimi ni Chotara'' Nafasi ya 6 Hii apa Endelea kusoma Mwandishi ni @venanc_njau #repost @venanc_njau
β€’ β€’ β€’
#black_fiv3 Nafasi ya sita @gabozigamba
#Faida
Gabo anasema moja ya faida kubwa kwake ni pamoja na kupata marafiki wengi kutoka sehemu mbalimbali lakini faida kubwa kabisa ni kuwa balozi wa maji ambayo yatazinduliwa hivi karibuni kiwanda ambacho kitajengwa na Mtanzania anayeishi Malawi Bishop Simama mfanyabiashara mkubwa sana nchini Malawi.
Katika kuenzi ukoo wa mama yake yaani akina Kiyeyeu Gabo amepanga kutengeneza filamu kubwa ya kufungia mwaka huu itakayojulikana kama Nyumba niitu sehemu maarufu kwa kuabudia Wahehe kama zawadi kwa babu zake akina Kiyeyeu na kuimarisha mila na Tamaduni za Babu zake.
Huyu ni Gabo Zigamba maarufu kama Chinga huku akisema yeye ni Chotara wa Kihehe na Kidigo tena wale wadigo wa Mombasa Kisauni.

0πŸ’¬

Loading...

#GaboZigamba β€˜β€˜Sitaki kujiita Jeshi la Mtu Mmoja'' Nafasi ya 5 Mwandishi ni @venanc_njau #repost @venanc_njau
β€’ β€’ β€’
#black_fiv3 nafas ya tano @gabozigamba

#Changamoto
Gabo anasema kuwa amekutana na changamoto nyingi lakini yeye kwake ilikuwa ni chachu ya mafanikio kwani baada ya kushiriki filamu za watayarishaji wengine aliamua kusambaza kazi zake mlango kwa mlango kupitia Sarafu Media kutokana na mizengwe ya wasambazaji.
β€œSitaki kujiita jeshi la mtu mmoja kwa ni alama ya mtu kajiita mimi ni hazina yenye madini joto, wakati tunaanaza kusambaza filamu ya Safari ya Gwalu vikwazo vilikuwa vingi hadi nikaamua kuzunguka na timu yangu kila wilaya,” anasema Gabo.
Changamoto nyingine ni wakati wakati wa kutengeneza vipindi kusafiri kwa muda mfupi na kufanya kitu ambacho kinakuwa bora lakini kuna wakati watakutana na watanzania wamechoka wanahitaji msaada wa kurudi Bongo tu lakini hawana nauli wakihitaji msaada kwake.

0πŸ’¬

Celebrities WOTEE Hao wamelike picha Ya wema kwa page yake πŸ™ŒπŸ™ŒπŸ”₯πŸ”₯#shilole #mziwanda #kitengemaulid #soudybrown #gabozigamba #stevenyerere2 #nandy

2πŸ’¬

#GaboZigamba na Tuzo yake ya ya Nje ya nchi..... Je unajua ni nchi Ipi???? Nafasi ya Nne ndo hii Endelea kuisoma #repost @venanc_njau
β€’ β€’ β€’
#black_fiv3 Nafasi ya nne ya @gabozigamba #tuzo ili huweze kuonyesha ubora wako na umahiri katika fani yoyote ni pale unapokumbukwa na taasisi au chombo chochote kwa kutambua mchango wako katika kile unachofanya, Gabo ana tuzo mbili moja ni Mwigizaji wa bora wa kiume kupitia tuzo za Action & Cut Views Choice Awards 2014/2015.
Pia mwaka huu aliweza kujishindia tuzo nyingine kutoka nchini Kenya kwa kupitia sinema aliyoshiriki ya Queen Masai akiwa kama mwigizaji bora tena wa kiume.

1πŸ’¬

Loading...

#GaboZigamba ...’’Tunaweza kumtukana bosi kwa sababu ya Uvivu wetu'' Je kauli hii Inamaanisha nini???? .......Nafasi ya 3 ndo hii........Mwandishi ni @venanc_njau #repost @venanc_njau
β€’ β€’ β€’
#black_fiv3 Nafasi ya tatu ya @gabozigamba Filamu nyingine alizoshiriki ni Majanga, Safari, Fikra zangu ya Jerusalem Film ya Jb hizi zote zikiwa za watayarishaji wengine tofauti na filamu yake ya Kona ambayo aliitayarisha mwenyewe, na sasa amekuja na filamu yake ya Safari ya Gwalu inayoelimisha jamii ikiwa imetayarishwa na yeye.
Mtayarishaji Vipindi na Mtangazaji
Gabo ni mtangazaji na mtayarishaji wa kipindi cha Bondeni kipindi kinachorushwa katika televisheni ya Taifa ya TBC1 ambacho kinafuatilia maisha ya ughaibuni, na kimekuwa kivutio sana kwa watazamaji wakishuhudia maisha magumu ya ugenini hasa wale walioenda bila mipango thabiti.
β€œKama nilivyosema awali kuwa mimi ni sauti ya wanyonge wasiosikika nikaona filamu tu haitoshi kupaisha sauti za wanyonge chini ya menejimenti yangu tukaja na kipindi cha Bondeni,”
Gabo ameshatengeneza vipindi vingi sana katika nchi za Afrika ya Kusini, Zambia, Botswana, Uganda na Malawi na hivi karibuni anatarajia kwenda nchini Oman kwani kuna watanzania wengi ambao wanapata shida kwa sababu ya uvivu wa kutofanya kazi.
β€œSafari zangu za kurekodi kipindi cha Bondeni imekuwa ikipata ushirikiano na balozi za Tanzania kwani wao ndio wanatuelekeza sehemu wanazopatikana watanzania, kwa mfano Oman tumeambiwa watanzania wamekwama na sababu kubwa hawataki kufanya kazi,”
β€œBaadhi ya watanzania wamekuwa wakikimbilia maisha ya ughaibuni huku ni wavivu wa kujishughulisha, Balozi mmoja ametueleza sisi tunaweza hata kumtukana bosi kwa sababu ya uvivu wetu,”

0πŸ’¬

#GaboZigamba ’’harakati zangu azikuja kama upepo'' je ni harakati zipi azikuja kama upepo basi usijali Nafasi ya Pili hii apa.. Mwandishi ni @venanc_njau ........ #repost @venanc_njau
β€’ β€’ β€’
#black_fiv3 Nafasi ya pili @gabozigamba SANAA ALIANZA LINI?
Gabo kuigiza alianza kitambo lakini rasmi ilikuwa ni 2006 kwa kushiriki katika vikundi mbalimbali huku akiwa na shauku kubwa ya kuwa nyota na kufikia lengo lake la kuwatetea wasio na nafasi anasema haikuwa rahisi sana kwani kulikuwa na changamoto nyingi ambazo hazikumkatisha tamaa.
Harakati zangu hazikuja kama upepo sinema yangu ya kwanza ilikuwa ni Olopong iliyotengenezwa na Al Riyamy Production chini ya Khalfan Abdalah, hapo milango ndio ilifunguka kwani baada ya hapo nikacheza 007 Boyz,”anasema Gabo.
Baada hapo alishiriki katika filamu ya The Plan, na kujiunga na kampuni ya marehemu Juma Kilowoka β€˜Sajuki’ Wajey Film akishiriki katika sinema zao kama mwigizaji na kufanikiwa kucheza filamu Mchanga na Keni, The killer na 007 Days alikuwepo hapo akijifunza vitu katika tasnia ya filamu.

2πŸ’¬

Loading...

#gabozigamba #baga_mteme #g_nako nipo nyumbani naenda njiani

0πŸ’¬

Old is gold... Enzi hizo Kuna wengine walipokuwa wakitumwa dukani walikuwa wakisema chenchi imedondoka ili mradi tu hako kashilingi akaingilie kwenye vibanda vya kuoneshea pichaπŸ˜‚
Song 🎡jeena srif mere liye❀️ Enjoy it.

From #bollywood. Bila kusahau kuwa hivi sasa tuko kwenye mchakato wa kuhakikisha tunaleta movie bora kwa watanzania zenye #uwezo mkubwaβœ”οΈ. Movie mbovu sasa baaaaasi❌❌ #mapinduziyabongomovie🎬
#farid__uwezo #auntezekiel #
#wolperstylish #gabozigamba #shirkomedia

3πŸ’¬

Loading...

#TBT binadam wanatoka mbali sana usikate tamaa coz uwez kujua kesho yako it was somewhere with my brother #gabozigamba he is one of the biggest actor in Tanzania right now #teamushindi

2πŸ’¬

#waswahili #gabozigamba kafyatua fyaaaa πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
.
Hizi konzi zinamhusu nani?? MTAGY HAPA πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Mlisema hajui kung''aa huyu ni nani?????

29πŸ’¬

#gabozigagamba binafsi nilicho gundua sio kua filamu za bongo zimeshuka thamani ila ninacho amini ni kua filamu za wasanii wa bongo movie ndizo zilizo shuka thamani kutokana na tabia zao za kujifanya wao ndo kila ki2 kwenye tasnia ya filamu tanzania.Tanzania kuna wasanii wengi wa filamu so sio lazima kila msanii wa filamu awe bongo movie.Maana ili neno la bongo movie ni tasisi ya wa2 binafsi.#GABOZIGAMBA ni msanii wa filamu za kitanzania na sio wa bongo movie.BINAFSI NAKUELEWA BRO

3πŸ’¬

Loading...

#uhondo familia tamthilia ya Block 41 kwa episode ya 1 Bureeeee kwenye SMU yako ya kiganjani . ingia play store pakua app yako ya UHONDO. #gabozigamba

0πŸ’¬

One Team
New bongo movies
New Hope UHONDO in your play store tupambane na hali zetu

#gabozigamba

1πŸ’¬

Pakua app yako ya uhondo play store. Kuweza kungalia filamu za bongo kwa part 1 bureeeee! Part 2 unachangia kiasi kidogo 500/= tu. Filamu mpya kwasasa ni #siyabonga #kisogo main character #gabozigamba

0πŸ’¬

Siri ya giningi sasa ipo madukani
Part 1& 2 tafadhari usiikose kwani ina mafunzo mengi ya kuelimisha, main character #gabozigamba

0πŸ’¬

#nabii_mswahili sasa ipo madukani
#gabozigamba . usikubali kusimulia

0πŸ’¬

Big up president Magufuri kwa kazi nzuri unayofanya. Sema neno moja tu..! Kwa kumpongeza rais.
#gabozigamba #ccmtanzania #uvcc

0πŸ’¬

#gabozigamba respect brother

1πŸ’¬

Casual Suit Available
Design :Tuxedo type
Colour :Royal Blue
Credit to #GaboZigamba

1πŸ’¬

Bro #Gabozigamba nakuitaga fundi sa Umepitiliza We ni karasiπŸ™ŒπŸ™Œ.......#Siabonga #Siabonga #gabozigamba

0πŸ’¬

Akizungumza na Times Fm Gabo amesema haya kuhusu Madame Sweetheart..... "Wema ni dada mmoja ambaye yupo na utaratibu wake, ukiufuata na kuusikiliza utafanya nae kazi vizuri sana na atakuwa yupo poa sana, Ukiwa nje ya huo utaratibu unaweza kumuona ni msumbufu na ukamuona kero kwenye kazi"

#wemasepetu #gabozigamba #tanzaniaactors

0πŸ’¬

from @wemathebrand - Uchawi ni nini??? Kaa tayari Bado siku moja (1) utapata majibu. #kisogo #Supportwemasepetu
#gabozigamba
#neemandepanya

2πŸ’¬

@Regrann from @wemathebrand - Uchawi ni nini??? Kaa tayari Bado siku moja (1) utapata majibu. #kisogo #Supportwemasepetu
#gabozigamba
#neemandepanya - #regrann

0πŸ’¬